Sipriani Iwene Tansi
Sipriani Iwene Tansi, O.C.S.O. (Igboezunu, Onitsha, Nigeria, 1903 - Leicester, Uingereza, 20 Januari 1964) alikuwa padri mmonaki.
Anaheshimiwa na Wakatoliki kama mwenyeheri, wa kwanza kutoka Nigeria, tangu alipotangazwa na Papa Yohane Paulo II tarehe 22 Machi 1998.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Januari.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
hariri- Publications on Blessed Iwene Tansi Archived 16 Septemba 2018 at the Wayback Machine.
- Early history Archived 28 Julai 2019 at the Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |