Siro wa Genova
Siro wa Genova (alifariki 29 Juni 381 BK) anakumbukwa kama askofu bora wa mji huo (Italia Kaskazini)[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Bent, J. Theodore: Genoa: How the Republic Rose and Fell. 1881.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/90924
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |