Sisoi Mkuu

(Elekezwa kutoka Sisoe)

Sisoi Mkuu (au Sisoes; alifariki 429 hivi) alikuwa mkaapweke wa Misri[1] maarufu kwa misemo yake iliyoripotiwa katika Apophthegmata Patrum (Misemo ya Mababa wa Jangwani)[2].

Picha takatifu ya Mt. Sisoi Mkuu kwenye kaburi la Aleksanda Mkuu.

Misemo hiyo ilikusanywa taratibu ili kudumisha hekima yao nyofu. Kuna pia tafsiri ya Kiswahili: Misemo ya Mababa wa Jangwani (Apophthegmata Patrum) – tafsiri ya W. Ngowi, O.F.M.Cap. – ed. Salvatorianum – Morogoro 2000ISBN 0-264-66350-0

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Julai[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/92754
  2. Harmless, William (2000). "Remembering Poemen Remembering: The Desert Fathers and the Spirituality of Memory". Church History. 15. American Society of Church History. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-05-18. {{cite journal}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  3. http://catholicsaints.info/saint-sisoes-the-great/
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.