Sofia wa Fermo (alifariki Fermo, Marche, Italia, 250 hivi) alikuwa bikira aliyekatwa kichwa kutokana na imani yake pamoja na Visia wakati wa dhuluma ya kaisari Decius dhidi ya Wakristo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 30 Aprili[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • G. Nepi, Curiosità storiche su Fermo ed il fermano, 1996, Fermo.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.