Spice ni albamu ya kwanza ya kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Spice Girls. Albamu ilitolewa mnamo tar. 4 Novemba katika mwaka wa 1996 na studio ya Virgin Records.Albamu ilirekodiwa kwenye studio za Olympic Studio ya mjini Barnes, London kati ya mwaka 1995 na 1996, na watayarishaji kama vile Matt Rowe, Richard Stannard, Eliot Kennedy na watayarishaji wawili wajulikanao kwa jina la Absolute.

Spice
Spice Cover
Studio album ya Spice Girls
Imetolewa 4 Novemba 1996
Imerekodiwa 1995 – 1996
Aina Pop, R&B, dance
Urefu 40:07
Lebo Virgin
Mtayarishaji Matt Rowe, Richard Stannard, Eliot Kennedy, Absolute
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Spice Girls
Spice
(1996)
Spiceworld
(1997)
Single za kutoka katika albamu ya Spice
 1. "Wannabe"
  Imetolewa: 8 Julai 1996
 2. "Say You'll Be There"
  Imetolewa: 14 Oktoba 1996
 3. "2 Become 1"
  Imetolewa: 16 Desemba 1996
 4. "Mama /
  Who Do You Think You Are"

  Imetolewa: 3 Machi 1997


Single tano zilitolewa kutoka katika alabmu hii: "Wannabe", "Say You'll Be There", "2 Become 1", "Who Do You Think You Are" na "Mama"; "Who Do You Think You Are" na "Mama" zilitolewa kama A-side na B-side kwa upande wa Uingereza, Ireland na nchi zingine. Single ya kwanza, "Wannabe", imekwenda shika nafasi ya kwanza katika nchi takriban 31, na single ya pili, "Say You'll Be There" na "2 Become 1", zimeshika nafasi ya kwanza katika nchi zipatazo 53.[1] "Who Do You Think You Are" ilitolewa kama single rasmi ya Comic Relief kwa upande wa UK ikiwa kama double A-side pamoja na "Mama" na nyimbo zote mbili zilifikia kilele cha chati za 20 bora katika Ulaya, Australia na New Zealand.

Spice walipata mafanikio makubwa sana ulimwengu. Albamu ilitunukiwa Platinum 10 nchini UK na British Phonographic Industry na nchini Canada na Canadian Recording Industry Association, Platinum 8 kwa upande wa Ulaya zilitolewa na International Federation of the Phonographic Industry katika tuzo zao za mwaka wa 1997 mashuhuri kama European music awards, na 7x Platinum kwa upande Marekani zilitolewa na Recording Industry Association of America. Kwa ujumla, albamu imeuza kopi milioni 23 kwa hesabu ya dunia nzima, na kuifanya iwe albamu iliouza vizuri katika historia ya makundi ya muziki kwa upande wa wasichana.[2][3]

Orodha ya nyimbo

hariri
# JinaMtunzi (wa) Urefu
1. "Wannabe"  Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe 2:52
2. "Say You'll Be There"  Spice Girls/Elliott Kennedy. Imetayarishwa na: Absolute 3:56
3. "2 Become 1"  Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe 4:00
4. "Love Thing"  Spice Girls/Elliott Kennedy. Imetayarishwa na: Absolute 3:37
5. "Last Time Lover"  Spice Girls/Andy Watkins/Paul Wilson. Imetayarishwa na: Absolute 4:11
6. "Mama"  Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe 5:03
7. "Who Do You Think You Are"  Spice Girls/Andy Watkins/Paul Wilson. Imetayarishwa na: Absolute 3:59
8. "Something Kinda Funny"  Spice Girls/Andy Watkins/Paul Wilson. Imetayarishwa na: Absolute 4:02
9. "Naked"  Spice Girls/Andy Watkins/Paul Wilson. Imetayarishwa na: Absolute 4:26
10. "If U Can't Dance^"  Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe 3:50
11. "Seremos Uno Los Dos^^"  Spice Girls/Richard Stannard/Matt Rowe. Imetayarishwa na: Richard Stannard, Matt Rowe 4:00

Matunukio, vilele, na mauzo

hariri
Chati[4] Nafasi
Iliyoshika
Matunukio Mauzo/Usafirishaji[5]
Argentina 1 3× Platinum 170,000
Australia 3 6× Platinum[6] 420,000
Austria 1 Platinum[7] 50,000
Belgium 3× Platinum[8] 150,000[9]
Brazil - 2× Platinum[10] 500,000
Canada 1 10× Platinum (Diamond)[11] 1 million[12]
Chile 1 4× Platinum 90,000
Europe 1 8× Platinum[13] 9.4 million[14]
Finland 4 2× Platinum[15] 76,000[16]
France 2 3× Platinum[17] 1.05 million[18]
Germany 6 3× Gold[19] 450,000
Italy 2 5× Platinum[20] 500,000[9]
Japan 3× Platinum[21] 1 million[9]
Hong Kong Platinum 40,000[9]
Mexico Gold[22] 100,000[23]
Netherlands 1 3× Platinum[24] 300,000
New Zealand 1 6× Platinum[9] 90,000[9]
Norway 1 2× Platinum[25] 80,000
Hispania 1 11× Platinum (Diamond)[26] 1.10 million[27]
Sweden 1 2× Platinum[28] 120,000
Switzerland 5 2× Platinum[29] 100,000
United Kingdom 1 10× Platinum (Diamond)[30] 3.02 million[31][32]
Marekani 1 7× Platinum[33] 7.4 million[34]

Marejeo

hariri
 1. "Biography". Spice Girls official website. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-08-21. Iliwekwa mnamo 30 Agosti 2009.
 2. "Spice Girl's biography". Rollings Stone Magazine. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-03. Iliwekwa mnamo 7 Septemba 2009. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
 3. "Behind the Music: Spice Girls". VH1. Recorded in 2003. Retrieved 18 Agosti 2007.
 4. Hit Parade (1996). "European charts". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 2008-09-05.
 5. International Federation of the Phonographic Industry (2006). "Certification Award Levels" (PDF). ifpi.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2006-12-19. Iliwekwa mnamo 2008-09-05.
 6. ARIA
 7. "IFPI Austria". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-06. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 8. Belgian Certifications
 9. 9.0 9.1 9.2 9.3 9.4 9.5 Sunday Mirror .It's a Spice World: Spice The Album, what it sold Archived 17 Machi 2010 at the Wayback Machine.. Aug 10, 1997
 10. "ABPD". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-09-06. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 11. "CRIA". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-26. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 12. CRIA. Sales and Certifications for Album's Spice Girls Archived 4 Oktoba 2008 at the Wayback Machine.. Canadian Recording Industry Association.
 13. IFPI. Sales Certifications European Archived 9 Mei 2012 at the Wayback Machine.. "Spice" 8× Platinum. International Federation of the Phonographic Industry.
 14. Charts in France. Les 100 Albums les plus vendus en Europe de l'histoire. "The 100 best-selling albums in Europe". 27 Agosti 2007. Retrieved 23 Januari 2009.
 15. "IFPI Finland". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-17. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 16. "Finnish Sales". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-01. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 17. "Disque En France". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-27. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 18. French Sales
 19. "IFPI Germany". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-30. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 20. Spice Girls Official. Timeline, 5 April 1997: quadruple platinum of sales than 400,000 in Italy alone Archived 31 Agosti 2018 at the Wayback Machine.. 19 Management.
 21. "Recording Industry Association of Japan". Recording Industry Association of Japan. Iliwekwa mnamo 2008-06-06.
 22. "AMPROFON". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-17. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 23. AMPROFRON. 100,000 copies, Gold Archived 12 Julai 2010 at the Wayback Machine.
 24. "NVPI". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-13. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 25. "IFPI Norway". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-18. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 26. Spanish Gold & Platinum Certification Database Archived 18 Desemba 2009 at the Wayback Machine.. Spice Diamond certification.
 27. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-04-18. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 28. "IFPI Sweden" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-05-21. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 29. IFPI Switzerland
 30. "BPI". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-14. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
 31. Evening Chronicle, (Newcastle, England). Top 10 selling albums of the 1990s in the UK Archived 21 Mei 2020 at the Wayback Machine.. quote: "Spice: 3.02m". 16 Agosti 2003. Retrieved 13 Januari 2009.
 32. Everyhit. Spice sold 2.9 million All-time best-selling albums, UK Database.
 33. "Gold & Platinum". RIAA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-18. Iliwekwa mnamo 7 Septemba 2009.
 34. Ask Billboard July 2007

Soma zaidi

hariri  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Spice kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.