Spiceworld ni albamu ya pili ya kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Spice Girls. Albamu ilitolewa mwaka wa 1997. Jina hili pia ni jina la filamu yao iitwayo Spiceworld The Movie. Albamu hii ilipata kuwa mashuhuri sana ulimwenguni, na kuthubutu hata kuitwa homa ya "Spicemania" kwa kipindi hicho. Albamu imetoa single tatu babkubwa zilizoingia kwenye ishirini bora za Marekani, single nne kali zilizoingia kwenye chati za UK, na single zilizoshika namba moja katika tano bora za Asia. Albamu imeuza kopi milioni 20 kwa hesabu ya dunia nzima.[1] Hii pia ilikuwa albamu ya mwisho kumshirikisha Geri Halliwell hadi hapo walipokuja kutoa albamu ya vibao vikali ya Greatest Hits miaka 10 baadaye, mnamo 2007.

Spiceworld
Spiceworld Cover
Studio album ya Spice Girls
Imetolewa 3 Novemba 1997
Aina Pop, R&B, dance, pop rock
Urefu 38:47
Lebo Virgin
Mtayarishaji Matt Rowe, Richard Stannard, Absolute
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Spice Girls
Spiceworld
(1997)
Forever
(2000)
Single za kutoka katika albamu ya Spiceworld
  1. "Spice Up Your Life"
    Imetolewa: 13 Oktoba 1997
  2. "Too Much"
    Imetolewa: 15 Desemba 1997
  3. "Stop"
    Imetolewa: 9 Machi 1998
  4. "Viva Forever"
    Imetolewa: 20 Julai 1998


Orodha ya nyimbo hariri

# Title Time
1. "Spice Up Your Life"
Watunzi: M. Rowe, V. Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, R. Stannard
Watayarishaji: Richard Stannard, Matt Rowe
Waimbaji Wakuu: Brown, Chisholm, Halliwell, Beckham, Bunton
2:53
2. "Stop"
Watunzi: V.Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, A. Watkins, P. Wilson
Watayarishaji: Andy Watkins, Paul Wilson
Waimbaji Wakuu: Halliwell, Chisholm, Bunton, Beckham, Brown
3:24
3. "Too Much"
Watunzi: V. Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, A. Watkins, P. Wilson
Watayarishaji: Andy Watkins, Paul Wilson
Waimbaji Wakuu: Brown, Bunton, Chisholm, Halliwell, Beckham
4:31
4. "Saturday Night Divas"
Watunzi: M. Rowe, V. Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, R. Stannard
Watayarishaji: Richard Stannard, Matt Rowe
Waimbaji Wakuu: Beckham, Chisholm, Bunton, Brown
4:25
5. "Never Give Up On The Good Times"
Watunzi: M. Rowe, V.Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, R. Stannard
Watayarishaji: Richard Stannard, Matt Rowe
Waimbaji Wakuu: Halliwell, Brown, Chisholm, Bunton, Beckham
4:30
6. "Move Over"
Watunzi: C. Lane, V. Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, M. Wood
Watayarishaji: Richard Stannard, Matt Rowe
Waimbaji Wakuu: Bunton, Brown, Chisholm, Halliwell, Beckham
2:46
7. "Do It"
Watunzi: V. Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, A. Watkins, P. Wilson
Watayarishaji: Andy Watkins, Paul Wilson
Waimbaji Wakuu: Chisholm, Bunton
4:04
8. "Denying"
Watunzi: V. Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, A. Watkins, P. Wilson
Watayarishaji: Andy Watkins, Paul Wilson
Waimbaji Wakuu: Chisholm, Bunton, Beckham, Brown, Halliwell
3:46
9. "Viva Forever"
Watunzi: M. Rowe, V. Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, R. Stannard
Watayarishaji: Richard Stannard, Matt Rowe
Waimbaji Wakuu: Bunton, Brown, Chisholm, Beckham
5:09
10. "The Lady Is A Vamp"
Watunzi: V. Beckham, M. Brown, E. Bunton, M. Chisholm, G. Halliwell, A. Watkins, P. Wilson
Watayarishaji: Andy Watkins, Paul Wilson
Waimbaji Wakuu: Halliwell, Beckham, Chisholm, Brown, Bunton
3:09

Matunukio, vilele, na mauzo hariri

Chati[2][3] Kilele Matunukio Mauzo[4]
America
Argentina 1 2× Platinum 80,000
Brazil 1 Platinum[5] 250,000
Chile 1 2× Platinum 50,000
Canada 2 10× Platinum (Diamond)[6] 1 million[7]
Mexico Gold[8] 100,000[9]
United States 3 (3 Week) 4× Platinum[10] 4.1 million[11]
Asia
Japan 2× Platinum[12] 400,000[13]
Hong Kong Platinum 15,000
Europe
Europe 1 5× Platinum[14] 5 million[14]
Austria 1 (1 Week) Platinum[15] 50,000
Belgium 2× Platinum[16] 100,000
Finland 1 (3 Weeks) 3× Platinum[17] 92,000[18]
France 2 (2 Weeks) 2× Platinum[19] 620,000[20]
Germany 4 (1 weeks) Platinum[21] 300,000
Netherlands 1 (2 Weeks) Platinum[22] 100,000
Norway 1 (2 Weeks) Platinum[23] 40,000
Poland 2× Platinum[24] 80,000
Spain 2 (5 Weeks) 3× Platinum[25] 275,000[26]
Sweden 3 (1 Week) 2× Platinum[27] 120,000
Switzerland 2 (2 Weeks) 2× Platinum[28] 100,000
United Kingdom 1 (3 Weeks) 5× Platinum[29] 1.5 million
Oceania
Australia 2 6× Platinum[30] 420,000
New Zealand 1 (1 Weeks) 3× Platinum [31] 45,000

Single hariri

Mwaka Single Chati Nafasi
1997 "Spice Up Your Life" UK Singles Chart #1
1997 "Spice Up Your Life" Canadian Singles Chart #1
1997 "Spice Up Your Life" Billboard Hot 100 #18
1997 "Spice Up Your Life" Top 40 Mainstream #37
1997 "Spice Up Your Life" Hot Dance Music/Club Play #4
1997 "Spice Up Your Life" Maxi-Singles Sales #22
1997 "Spice Up Your Life" Rhythmic Top 40 #27
1997 "Too Much" UK Singles Chart #1
1997 "Too Much" Canadian Singles Chart #9
1997 "Too Much" Billboard Hot 100 #9
1997 "Too Much" Top 40 Mainstream #21
1997 "Too Much" Hot Dance Music/Club Play #1
1997 "Too Much" Rhythmic Top 40 #23
1997 "Too Much" Adult Contemporary #23
1998 "Stop" UK Singles Chart #2
1998 "Stop" Canadian Singles Chart #3
1998 "Stop" Billboard Hot 100 #16
1998 "Stop" Top 40 Mainstream #39
1998 "Stop" Hot Dance Music/Club Play #14
1998 "Stop" Maxi-Singles Sales #3
1998 "Stop" Adult Top 40 #35
1998 "Viva Forever" UK Singles Chart #1
1998 "Viva Forever" Russian Singles Chart #1
1998 "Viva Forever" ARIA Top 50 #2
2006 "The Lady Is A Vamp" Mexican Digital Sales Chart #77
2007 "Stop" Russian Singles Chart #12
2007 "Stop" UK Singles Chart #78

Tanbihi na marejeo hariri

  1. The Times. Sinclair, David.The Prefab Five are back. Are you ready?. quote: "Their first two albums, Spice and Spiceworld, each sold more than 23 million copies." 28 Juni 2007.
  2. Hit Parade (1997). "European charts". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 2008-09-05. 
  3. Billboard. "Billboard charts". allmusic.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-10-03. Iliwekwa mnamo 2008-12-02.  Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |GIRLS&sql= ignored (help)
  4. International Federation of the Phonographic Industry (2006). "Certification Award Levels" (PDF). ifpi.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-12-19. Iliwekwa mnamo 2008-09-05. 
  5. "ABPD". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-09-06. Iliwekwa mnamo 2009-09-25. 
  6. "CRIA". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-26. Iliwekwa mnamo 2009-09-25. 
  7. CRIA. Sales and Certifications for Album's Spice Girls Archived 4 Oktoba 2008 at the Wayback Machine.. Canadian Recording Industry Association.
  8. "AMPROFON". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-17. Iliwekwa mnamo 2009-09-25. 
  9. AMPROFRON. 100,000 copies, Gold Archived 12 Julai 2010 at the Wayback Machine.
  10. "RIAA". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-25. Iliwekwa mnamo 2009-09-25. 
  11. Ask Billboard July 2007
  12. "Recording Industry Association of Japan". Recording Industry Association of Japan. Iliwekwa mnamo 2008-06-06. 
  13. Sales Japan
  14. 14.0 14.1 IFPI. Sales Certifications European Archived 5 Februari 2010 at the Wayback Machine.. Spiceworld 5 millions sold. International Federation of the Phonographic Industry.
  15. "IFPI Austria". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-06. Iliwekwa mnamo 2009-09-25. 
  16. Belgian Certifications
  17. "IFPI Finland". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-17. Iliwekwa mnamo 2009-09-25. 
  18. "Finnish Sales". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-01. Iliwekwa mnamo 2009-09-25. 
  19. "Disque En France". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-27. Iliwekwa mnamo 2009-09-25. 
  20. French Sales
  21. "IFPI Germany". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-27. Iliwekwa mnamo 2009-09-25. 
  22. "NVPI". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-13. Iliwekwa mnamo 2009-09-25. 
  23. "IFPI Norway". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-18. Iliwekwa mnamo 2009-09-25. 
  24. "ZPAV". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-25. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.  Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://web.archive.org/web/20080525174705/http://www.zpav.pl/plyty.asp?page= ignored (help)
  25. Spanish Gold & Platinum Certification Database Archived 18 Desemba 2009 at the Wayback Machine.. Spiceworld 3x Platinum certification.
  26. "Spiceheart.Com // Tu Punto De Referencia Spice". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-04-16. Iliwekwa mnamo 2009-09-25. 
  27. "IFPI Sweden". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-21. Iliwekwa mnamo 2009-09-25. 
  28. IFPI Switzerland
  29. "BPI". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-20. Iliwekwa mnamo 2009-09-25. 
  30. ARIA
  31. "RIANZ - February 7th, 1999". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.  Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://www.webcitation.org/5wChHAS9r?url= ignored (help)



  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Spiceworld kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.