Forever
Forever ni jina la albamu ya tatu ya kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Spice Girls. Albamu ilitolewa mnamo mwaka 2000. Hii ni albamu pekee walioitoa bila kuwepo kwa Geri Halliwell (ambaye alirejea kundini mnamo mwaka wa 2007 wakati kutoa albamu yao Greatest Hits).
Forever | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Spice Girls | |||||
Imetolewa | 6 Novemba 2000 | ||||
Imerekodiwa | 1999–2000 | ||||
Aina | Pop, R&B, dance-pop | ||||
Urefu | 49:28 | ||||
Lebo | Virgin | ||||
Mtayarishaji | Richard Stannard, Matt Rowe, Darkchild, Fred Jerkins III, Harvey Mason, Jr., Jimmy Jam na Terry Lewis | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Spice Girls | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Forever | |||||
|
Albamu imeona polomoko kubwa kabisa la mauzo ukifananisha na zile albamu mbili za awali, lakini pia ilikuwa kwa sababu ya kukosa promosheni hasa katika Marekani, ambapo albamu zao awali ziliuza sana. Ulikuwa muda huu ambao ile kitu ya kuitwa "Spice Mania" imeanza kufifia. Licha ya mambo yote hayo yaliyotokea, Forever imeweza kuuza takriban nakala milioni 3 kwa hesabu ya dunia nzima na kushika nafasi ya pili katika chati za Uingereza nyuma ya albamu ya Westlife, Coast to Coast.
Orodha ya nyimbo
hariri- "Holler" (Victoria Beckham, Melanie Brown, Emma Bunton, Melanie Chisholm, Rodney Jerkins, LaShawn Daniels, Fred Jerkins III) – 4:15
- "Tell Me Why" (Beckham, Brown, Bunton, Jerkins, Daniels, Jerkins, Mischke Butler) – 4:13
- "Let Love Lead the Way" (Beckham, Brown, Bunton, Chisholm, Jerkins, Daniels, Jerkins, The Underdogs) – 4:57
- "Right Back at Ya" (Beckham, Brown, Bunton, Chisholm, Eliot Kennedy, Tim Lever) – 4:09
- "Get Down with Me" (Beckham, Brown, Bunton, Jerkins, Daniels, Jerkins, Butler, Robert Smith) – 3:45
- "Wasting My Time" (Brown, Bunton, Chisholm, Daniels, Jerkins) – 4:13
- "Weekend Love" (Beckham, Brown, Bunton, Chisholm, Jerkins, Daniels, Jerkins) – 4:04
- "Time Goes By" (Beckham, Brown, Bunton, Jerkins, Daniels, Jerkins, Butler) – 4:51
- "If You Wanna Have Some Fun" (Beckham, Brown, Bunton, Chisholm, James Harris III, Terry Lewis) – 5:25
- "Oxygen" (Beckham, Brown, Bunton, Chisholm, Harris, Lewis) – 4:55
- "Goodbye" (Beckham, Brown, Bunton, Chisholm, Richard Stannard, Matt Rowe) – 4:35
Matunukio, vilele, na mauzo
haririChati[1][2] | Nafasi Iliyoshika |
Matunukio | Sales/Shipments[3] | |
---|---|---|---|---|
Amerika | ||||
Argentina | 2 | Platinum | 45,000 | |
Brazil | 1 | Gold[4] | 100,000[5] | |
Chile | 21 | Gold | 8,000 | |
Canada | 6 | 2x Platinum[6] | 200,000[6] | |
Mexico | 6 | 40,000 | ||
United States | 39 | 207,000[7] | ||
Asia | ||||
Japan | 40,000[8] | |||
Hong Kong | Platinum | 15,000 | ||
Ulaya | ||||
Europe | 5 | 600,000[9] | ||
Austria | 9 | Platinum[10] | 25,000[5] | |
Belgium | 44 | Gold[11] | 25,000[5] | |
Italia | 11 | Gold | 50,000 | |
Finland | 24 | |||
Ufaransa | 43 | 15,000[12] | ||
Germany | 6 | Gold[13] | 150,000[5] | |
Netherlands | 30 | Gold[14] | 40,000[5] | |
Norway | 26 | |||
Russia | 5 | |||
Spain | 26 | Gold | 75,000[15] | |
Sweden | 24 | |||
Switzerland | 5 | Platinum[16] | 50,000[5] | |
United Kingdom | 2 | Platinum[17] | 300,000[5] | |
Oceania | ||||
Australia | 9 | Gold | 35,000 | |
New Zealand | 25 | Gold[18] | 7,500[5] |
Marejeo
hariri- ↑ Hit Parade (1996). "European charts". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 2008-09-05.
- ↑ Billboard. "Billboard charts". allmusic.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-10-03. Iliwekwa mnamo 2008-12-02.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|GIRLS&sql=
ignored (help) - ↑ International Federation of the Phonographic Industry (2006). "Certification Award Levels" (PDF). ifpi.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2006-12-19. Iliwekwa mnamo 2008-09-05.
- ↑ "ABPD". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-05-06. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ 5.0 5.1 5.2 5.3 5.4 5.5 5.6 5.7 Spice Girls LLP. Official Sales Album's Archived 26 Machi 2012 at the Wayback Machine.. 19 Management.
- ↑ 6.0 6.1 CRIA. Sales and Certifications for Album's Spice Girls Archived 4 Oktoba 2008 at the Wayback Machine.. Canadian Recording Industry Association.
- ↑ Ask Billboard July 2007 Sales US Spice Girls Album's
- ↑ Japan and New Zealand Sales Spice
- ↑ Sales Europe for Forever, 600.000 copies
- ↑ "IFPI Austria". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-26. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ Belgian Certifications
- ↑ French Sales
- ↑ "IFPI Germany". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-27. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ "NVPI". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-13. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-04-18. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ IFPI Switzerland
- ↑ "BPI". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-14. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
- ↑ "RIANZ – December 17th, 2000". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2009-09-25.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://www.webcitation.org/5wChHAS9r?url=
ignored (help)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Forever kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |