Spoti Starehe ni gazeti kutoka Dar es Salaam, nchini Tanzania.

Spoti Starehe ™
Jina la gazeti Spoti Starehe ™
Aina ya gazeti Linatolewa kila siku
Nchi Tanzania
Mwanzilishi Vicent Segona
Mhariri Business Times Limited
Mmiliki Vicent Segona
Makao Makuu ya kampuni Dar es Salaam
Tovuti https://spoti.co.tz

Linatolewa kila siku kwa lugha ya Kiswahili na kampuni ya Business Times Limited inayotoa pia magazeti ya Dar Leo au Majira.

Magazeti ndugu hariri

Marejeo hariri

  • Sanga, A. N. (2018). Mkengeuko wa ujumi wa kiafrika katika hadithi fupi andishi za kiswahili kipindi cha utandawazi: Mifano kutoka magazeti ya Habari Leo, Nipashe na Mwananchi (Doctoral dissertation, Chuo Kikuu cha Dodoma
  • Sturmer, M. (1998). The media history of Tanzania (p. 32). Ndanda: Ndanda Mission Press.