Stanislaus Papczynski

Stanislaus Papczynski (18 Mei 163117 Septemba 1701) alikuwa mtawa padri wa Polandi.

Picha ya Mt. Stanislaus Papczynski.

Baada ya kuishi katika shirika la Waskolopi, alianzisha la kwake, Wanamaria wa Kukingiwa Dhambi Asili, ambalo lilikuwa la kwanza kuanzishwa kwa wanaume nchini Polandi[1][2].

Papa Benedikto XVI alimtangaza mwenye heri tarehe 16 Septemba 2007 halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 5 Juni 2016.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. ""Blessed Stanislaus of Jesus and Mary Papczyński (1631-1701) Founder of The Marians", Marians of the Immaculate Conception". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-07-19. Iliwekwa mnamo 2020-09-16.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/93272
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.