Stefano wa Apt (pia: Étienne, Stephanus; Agde, 975 - Apt, Vaucluse, 6 Novemba 1046) alikuwa askofu wa Apt, leo nchini Ufaransa, tangu mwaka 1010 hadi kifo chake.

Alikuwa maarufu kwa upole wake. Alikwenda mara mbili kuhiji Nchi takatifu na baada ya kurudi salama alijenga upya kanisa kuu la jimbo [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Novemba[2][3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Joseph-Hyacinthe Albanès, complété, annoté et publié par le chanoine Ulysse Chevalier, Gallia christiana novissima. Histoire des archevêchés, évêques et abbayes de France d'après les documents authentiques recueillis dans les registres du Vatican et les archives locales — Tome premier : Aix, Apt, Fréjus, Gap, Riez et Sisteron, Montbéliard, 1899-1920 (lire en ligne [archive]), p. 173-303.
  • Jean-Pierre Poly, La Provence et la société féodale : 879-1166, contribution à l'étude des structures dites féodales dans le Midi, Paris, Bordas, 1976, 431 p.
  • N. Didier, H. Dubled et J. Barruol, Cartulaire de l'Église d'Apt, (835-1130?). Édition avec introduction, commentaire et notes, Paris, Dalloz, coll. « Essais et travaux », 1967, chap. 20.
  • Augustin Roux, Apt, quelques aspects de son histoire, Paris, Le Livre d'Histoire, coll. « Monographies des villes et villages de France », 2003, 183 p. (ISBN 2843732522, OCLC 645600761).
  • Jean-Charles Didier, Stefano, vescovo di Apt, santo, in Bibliotheca Sanctorum, XI. col. 1395.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.