Stefano wa Obazine

Stefano wa Obazine (kwa Kifaransa pia: Étienne de Vielzot; Vielzot, Limousin, Ufaransa, 1085 - Obazine, Ufaransa, 8 Machi 1154) alikuwa padri, halafu mkaapweke mwanzilishi wa monasteri tatu za jinsia zote mbili ambazo hatimaye aliziunganisha na urekebisho wa Citeaux wa Wabenedikto akawa abati[1][2].

Kaburi lake.
Kaburi lake.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 28 Machi[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Gert Melville, "Stephan von Obazine: Begründung und Überwindung charismatischer Führung," in Giancarlo Andenna / Mirko Breitenstein / Gert Melville (eds.), Charisma und religiöse Gemeinschaften im Mittelalter. Akten des 3. Internationalen Kongresses des "Italienisch-deutschen Zentrums für Vergleichende Ordensgeschichte" (Münster / Hamburg / Berlin / London: LIT 2005) (Vita regularis. Ordnungen und Deutungen religiosen Lebens im Mittelalter, 26), 85–101.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.