Stefano wa Rossano

Stefano wa Rossano (Rossano Calabro, mkoa wa Calabria, Italia, 925Gaeta, 1001) alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Mashariki, mfuasi wa Nilo wa Rossano sehemu mbalimbali za Italia[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Tarehe 26 Septemba ndiyo sikukuu yake[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.