Nilo wa Rossano

Nilo wa Rossano (pia: Nilo Kijana, Nilo wa Grottaferrata; Rossano Calabro, mkoa wa Calabria, Italia, 910Grottaferrata, karibu na Roma, 26 Septemba 1004) alikuwa abati wa wamonaki wa Ukristo wa Mashariki sehemu mbalimbali za Italia[1][2].

Mt. Nilo.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Tarehe ya kifo chake ndiyo sikukuu yake[3].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/72100
  2. (Kigiriki) ΟΣΙΟΣ ΝΕΙΛΟΣ, Ο ΕΚ ΚΑΛΑΒΡΙΑΣ Archived 12 Mei 2021 at the Wayback Machine.. Αποστολική Διακονία της Εκκλησίας της Ελλάδος.
  3. Martyrologium Romanum

MarejeoEdit

  • Orazio Campagna, San Nilo di Rossano al Mercurion - L’Athos d’Italia, Edizioni Lo Faro, Roma 2000
  • David Paul Hester. Monasticism and Spirituality of the Italo-Greeks. Volume 55 of Analekta Vlatadōn. Patriarachal Institute for Patristic Studies [Patriarchikon Hidryma Paterikon Meleton], 1992. pp. 200–221.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.