Suksesi na wenzake 17
Suksesi na wenzake 17 (kwa Kilatini: Successus et companii) walikuwa Wakristo wa Afrika Kaskazini ambao waliuawa kwa imani yao wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |