Suksesi wa Karthago
Suksesi wa Karthago (kwa Kilatini: Successus) alikuwa Mkristo wa Afrika Kaskazini ambaye aliuawa kwa imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Januari pamoja na wenzake 38.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |