Swear It Again
"Swear It Again" ni wimbo kutoka kwa kundi la Westlife. Wimbo huu uliotoka kama single ya kwanza kutoka katika kundi la Westlife. Ulishika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki wa Uingereza Ufalme wa Muungano,Ilifanikiwa kuuza nakala 182,000 katika wiki ya kwanza tangu itoke.Wimbo huu umekuwa wimbo kati ya nyimbo kumi na nne kufika namba moja katika chati ya muziki wa Uingereza
“Swear It Again” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Westlife kutoka katika albamu ya Westlife | |||||
Muundo | CD single Airplay | ||||
Aina | Pop | ||||
Urefu | 3:26 | ||||
Studio | Sony BMG, RCA | ||||
Mtunzi | Steve Mac, Wayne Hector | ||||
Mtayarishaji | Steve Mac, Wayne Hector | ||||
Certification | Platinum (UK) | ||||
Mwenendo wa single za Westlife | |||||
|
Hadi sasa, wimbo huu, ndio umekuwa wimbo pekee wa kundi la Westlife kuwahi kufanya vizuri katika chati ya muziki ya Marekani kufika namba 20, na kuweza kushika nafasi ya 75, katika chati ya muziki ya Marekani halikadhalika kuwa kati ya nyimbo 100 bora zaidi kwa mwaka 2000. Wimbo huu uliimbwa moja kwa moja katika mashindano ya urembo ya Marekani ya chini ya miaka ishirini kwa mwaka 2000
Hadi sasa, wimbo huu umeuza nakala zaidi ya 400,000 katika nchi za Uingereza na Marekani. na kushika nafasi ya pili katika chati ya muziki ya Marekani na kufanikiwa kufikia malengo yaliyotarajiwa kufikiwa nchini humo.
Wimbo wa Until The End of Time, wimbo kutoka kwa mwimbaji kutoka Bara la Asia, ulitoka kama single nchini Taiwani na nchini Ubelgiji. Toleo la Ubelgiji lilijumuisha nyimbo kama Let's Make Tonight Special na katika kalenda za siku za kuzaliwa za watu maarufu nchini humo na katika wavuti.[1]
Mtiririko wa Nyimbo
haririCD ya Kwanza ya Uingereza
hariri- Swear It Again (Radio Edit) - 4:04
- Forever - 5:05
- CD-Rom (Interview & Video Clips)
CD ya pili ya Uingereza
hariri- Swear It Again (Radio Edit) - 4:04
- Swear It Again (Rokstone Mix) - 4:07
- Ronan Keating Interview - 3:36
CD ya Australia
hariri- Swear It Again (Radio Edit) - 4:04
- Sweat It Again (Rokstone Mix) - 4:07
- Forever - 5:05
- Ronan Keating Interview - 3:36
- Enhanced Section (Interview and Video Clips)
Cd ya Asia
hariri- Swear It Again (Radio Edit) - 4:04
- Until The End Of Time (Unreleased in the UK) - 3:12
- Let's Make Tonight Special (Unreleased in the UK) - 4:57
- Don't Calm The Storm (Unreleased in the UK) - 3:47
- Forever - 5:05
- Everybody Knows - 4:09
- Ronan Keating Interview - 3:36
CD ya Marekani
hariri- Swear It Again (Radio Edit) - 4:04
- My Private Movie (Snippet)
- I Don't Wanna Fight (Snippet)
- Can't Lose What You Never Had (Snippet)
- Flying Without Wings (Snippet)
Nyimbo za video
haririToleo la Uingereza
haririVideo hii ilitengenezwa na bendi hii katika studio ndogo, wakati waimbaji hawa wakiimba katika jukwaa huku taa mbalimbali zikiwamulika. Na pia Kutengeza vido ya rangi nyeusi na Nyeupe katika studio zao wenyewe.
Ikiongoza na Wayne Isham ilitoka kwa mara ya kwanza mwezi Mei 1999.[2]
Toleo la Marekani
haririToleo la Marekani linaonesha kundi hili likiwa katika eneo la kuoshea magari na baadae wakiwa wanasafisha gari la rangi nyeupe.
Wimbo huu wa Video uliiongozwa na Nigel Dick na ulitoka kwa mara ya kwanza mwezi Juni 2000.[2]
Historia ya Kutoka
haririMahali | Tarehe |
---|---|
Uingereza | Aprili 12, 1999 |
Marekani | Februari 25, 2000 |
Chati
haririNchi/Chati | Ilipata Nafasi |
---|---|
Australian Singles Chati | 12 |
Ubelgiji Singles Chati | 10 |
Canadian Singles Chart | 21 |
Irish Singles Chart | 1 |
Netherlands Singles Chart | 27 |
New Zealand Singles Chart | 1 |
Swedish Singles Chart | 12 |
Swiss Singles Chart | 25 |
Chati ya Uingereza | 1 |
UK Radio Airplay Chart | 8 |
Marekani. Billboard Hot 100 | 20 |
Marekani. Hot Adult Contemporary Tracks | 22 |
Marekani.Billboard Singles Sales Chart | 2 |
Marekani. Pop, AC Airplay Chart | 21 |
Marekani. Billboard Top 40 Tracks | 38 |
Chati ya Mwisho wa Mwaka
haririNchi/Chati | Ilishika nafasi |
---|---|
Australia | 79 |
Uingereza | 46 |
Marekani. | 75 |
Wafanyakazi
hariri
Mapato ya Nyimbohariri
|
Kutenganezwa kwa CDhariri
|
Marejeo
hariri- ↑ http://www.discogs.com/Westlife-Joepie-De-Hecto-Nijge-Multi-Dinges-CD/release/827257
- ↑ 2.0 2.1 "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-01. Iliwekwa mnamo 2009-12-29.