Tanzania Daima ni gazeti kutoka Dar es Salaam, nchini Tanzania. Linatolewa kila siku kwa lugha ya Kiswahili na kampuni ya Free Media Limited inayotoa pia gazeti la FreeMedia.

Tanzania Daima
Jina la gazeti Tanzania Daima
Aina ya gazeti Linatolewa kila siku
Nchi Tanzania
Mhariri Free Media Ltd.
Makao Makuu ya kampuni Dar es Salaam
Tovuti http://www.freemedia.co.tz

Magazeti dada

hariri

Marejeo

hariri
  • Sanga, A. N. (2018). Mkengeuko wa ujumi wa kiafrika katika hadithi fupi andishi za kiswahili kipindi cha utandawazi: Mifano kutoka magazeti ya Habari Leo, Nipashe na Mwananchi (Doctoral dissertation, Chuo Kikuu cha Dodoma
  • Sturmer, M. (1998). The media history of Tanzania (p. 32). Ndanda: Ndanda Mission Press.