Tao la Mashariki
Tao la Mashariki ni mfululizo wa milima na safu za milima unaopatikana nchini Tanzania na pia Kenya Kusini.
Ndiyo milima ya zamani zaidi katika Afrika Mashariki ikiwa na miaka walau milioni mia.
Ni kama ifuatavyo:[1]
- Milima ya Taita (hiyo tu iko Kenya)
- Milima ya Upare ya Kaskazini na ya Kusini
- Milima ya Usambara ya Mashariki na ya Magharibi
- Milima ya Unguu ya Kaskazini na ya Kusini
- Milima ya Ukaguru
- Milima ya Uluguru
- Milima ya Rubeho
- Milima ya Udzungwa
- Milima ya Mahenge
- Mlima Malundwe
- Milima ya Uvidunda
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Map". Eastern Arc Mountains Information Source. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Julai 2011.
{{cite web}}
: Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Briggs, Philip (2009). Northern Tanzania: The Bradt Safari Guide with Kilimanjaro and Zanzibar. Bradt Travel Guides. ku. 20–21. ISBN 978-1-84162-292-7.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tao la Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |