Tekla wa Kitzingen

Tekla wa Kitzingen (Britania, karne ya 8 - Ujerumani, 790 hivi) alikuwa mmonaki Mbenedikto kutoka Uingereza aliyetumwa kama mmisionari huko Ujerumani pamoja na jamaa yake Lioba mwaka 746[1][2], halafu akawa abesi wa monasteri[1][3] mbili[4].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na wengineo kama mtakatifu bikira.

Sikukuu yake ni tarehe 15 Oktoba ya kila mwaka[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Talbot, C. H., ed. The Anglo-Saxon Missionaries in Germany: Being the Lives of S.S. Willibrord, Boniface, Strum, Leoba and Lebuin, together with the Hodoeporicon of St. Willibald and a Selection from the Correspondence of St. Boniface. New York: Sheed and Ward, 1954.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.