Tendaness

Mtayarishaji na mtunzi wa muziki wa DJ wa Swaziland

Tatenda Mandaza (alizaliwa mnamo tarehe 10 Septemba 1992), anajulikana Kitaalamu Kama Tendaness.Ni mzaliwa wa Eswatini, mtayarishaji wa rekodi, DJ na Mtunzi wa nyimbo.

mtayarishaji wa rekodi mzaliwa wa Swaziland, DJ na mtunzi wa nyimbo.

Maisha ya Awali na Kazi hariri

Tatenda Mandaza alizaliwa Mbabane, mji mkuu wa Eswatini.Mama yake ni Mswati na baba yake ni Mzimbabwe.Alianza Kazi yake ya uimbaji mnamo mwaka 2007 - 2008 katika chumba chake cha kulala[1]

baada ya kupendezwa na Sanaa kutoka kwa rafiki yake wa shule ya upili.[2] Alipata jina lake la kisanii 'Tendaness' kutoka Kwan rafiki yake ambaye alimfundisha jinsi ya kutumia turntables mnamo mwaka 2008.[3]

Marejeo hariri

  1. "eSwatini: MTN SWAMA Awards announces nominees". Music In Africa (kwa Kiingereza). 2018-07-04. Iliwekwa mnamo 2019-03-12. 
  2. "Tender Hands of the Decks". Times of Swaziland. Iliwekwa mnamo 19 December 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Tender Hands of The Decks". Times of Swaziland. Iliwekwa mnamo 19 December 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)