Teodari
Teodari (pia: Theuderius, Theuderis, Theudar, Theodore, Theudère, Cherf, Chef; alifariki karibu na Vienne, Ufaransa, 575 hivi) alikuwa mfuasi wa Sesari wa Arles ambaye alimpadrisha na kumweka kuwa mwombezi na muungamishi wa waumini wa jimbo lake [1]
Hata hivyo baadaye, akitamani kuwa mmonaki, alianzisha monasteri walau moja, na hatimaye alijifungia ndani kuishi kama mkaapweke.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Butler, Alban (1799), The Lives of the Primitive Fathers, Martyrs, and Other Principal Saints, juz. la X, J. Moir, iliwekwa mnamo 2021-08-07
- Charvet, Claude (1761), Histoire de la sainte église de Vienne (kwa Kifaransa), Chez C. Cizeron, uk. 798, iliwekwa mnamo 1 Mei 2020
{{citation}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - Histoire: Les grandes figures du diocèse de Grenoble et Vienne (kwa Kifaransa), Diocese of Grenoble-Vienne, iliwekwa mnamo 1 Aprili 2020
{{citation}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - Longueval, Jacques (1825), Histoire de l'église gallicane: dédiée à Nosseigneurs du clergé (kwa Kifaransa), Bureau de la Bibliothèque Cath.
- "Saint Theuderius", CatholicSaints.info, 20 Februari 2010, iliwekwa mnamo 2021-08-07
{{citation}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - Teste, Victor (1852), "Essai archéologique sur le monastère de l'église abbatiale de Saint-Chef en Dauphiné", Revue du Lyonnais (kwa Kifaransa), IV: 85–94, iliwekwa mnamo 1 Januari 2020
{{citation}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - St. Augustine's Abbey, Ramsgate (1921), The Book of saints : a dictionary of servants of God canonized by the Catholic Church, London: A. & C. Black, ltd., iliwekwa mnamo 2021-07-26 Kigezo:PD-notice
- Zénon Collombet, François (1847), Histoire de la sainte église de Vienne depuis les premiers temps du Christianisme, jusqu'a la suppression du siége, en 1801 (kwa Kifaransa), juz. la 2, Lyon
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |