Teodomiro wa Carmona
Teodomiro wa Carmona (Carmona, Sevilia, Hispania, karne ya 9 - Cordoba, Hispania, 25 Julai 851) alikuwa kijana mmonaki aliyeuawa na Waislamu waliotawala nchi hiyo [1][2][3].
Taarifa zake ziliandikwa na Eulogi wa Kordoba[4] [5].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ GARCÍA RODRÍGUEZ, Antonio (1995). Consejo de hermandades y cofradías de Carmona, ed. Teodomiro. ISBN 84-605-3887-7.
- ↑ Watkins, Basil (2015). The Book of Saints: A Comprehensive Biographical Dictionary. Bloomsbury. uk. 709. ISBN 9780567664143. Iliwekwa mnamo 9 Aprili 2018.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/64260
- ↑ Latin writings of Eulogius pdf downloads at documentacatholicaomnia.eu
- ↑ Complete Works of Eulogius of Cordoba English translations of Eulogius' writings.
- ↑ Martyrologium Romanum
Vyanzo
hariri- Tolan, John, Medieval Christian Perceptions of Islam, New York: Routledge, 2000. ISBN|0-8153-1426-4
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |