Teresa Mannino (alizaliwa Palermo, 23 Novemba 1970) ni mchekeshaji, mwigizaji, na mtangazaji wa runinga nchini Italia.

Teresa Mannino
Amezaliwa23 Novemba 1970
UtaifaItalia
Kazi yakeMchekeshaji

Wasifu

hariri

Mannino alihitimu masomo ya falsafa, kisha alihamia Milano akajiunga na shule ya uigizaji ya Teatro Carcano Europe.[1] [2]

Baada ya mafunzo na mazoezi ya kutosha alikuwa mchekeshaji wa kwenye majukwaa na alianza kuonekana kwenye chaneli ya televisheni ya Kiitalia iitwayo Canale 5 katika maudhui tofautitofauti Zelig.[1][3]

Mannino anafanya vizuri kwenye majukwaa, filamu na vipindi mbalimbali vya kibiashara kwenye runinga. Mnamo mwaka 2012 alikuwa mwenyeji wa mahojiano ya one-woman-show kwenye chaneli ya Kiitalia ya La 7, Se stasera sono qui.[4]

Mwisho wa maudhui alielezea maudhui kama "show talk", si "talk show", akimaanisha kuwa mahojiano yatakuwa yakizungumzia mambo yahusuyo jamii na utamaduni kiundani kidogo. [5]

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 Gigi Vesigna (29 Julai 2007). "La filosofiava in scena". Famiglia Cristiana. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 24 Aprili 2014.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Silvia Fumarola (31 Machi 2012). "Teresa Mannino tra cinema e tv". La Repubblica. Iliwekwa mnamo 24 Aprili 2014.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Marida Caterini (8 Agosti 2012). "Teresa Mannino da Zelig off a Zelig, col mago Forest". Panorama. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-04-24. Iliwekwa mnamo 24 Aprili 2014.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "La parolaallacritica: se staserasono qui con Teresa Mannino". TV Sorrisi e Canzoni. 10 Septemba 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-30. Iliwekwa mnamo 24 Aprili 2014.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-09. Iliwekwa mnamo 2021-05-11.

Kusoma zaidi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Teresa Mannino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.