Kobe
(Elekezwa kutoka Testudines)
Kobe | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kobe-chui (Stigmochelys pardalis)
| ||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
| ||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||
Nusuoda 2:
|
Makobe ni wanyama wadogo hadi wakubwa wa oda Testudines katika ngeli Reptilia. Spishi zinazoishi baharini huitwa kasa.
Kiwiliwili chao kimefunikwa kwa gamba gumu liitwalo galili. Kwa kawaida galili hii ni yabisi, lakini kuna spishi zilizo na galili nyumbufu, zote spishi za maji. Kichwa, miguu na mkia inachomoza kutoka galili lakini katika spishi nyingi inaweza kuvutwa ndani, spishi za nchi kavu hasa.
Spishi za Afrika ya Mashariki
haririCRYPTODIRA
- Familia Cheloniidae
- Caretta caretta, Kasa Mtumbi, Dufi au Duvi (Loggerhead sea turtle)
- Chelonia mydas, Kasa Uziwa (Green sea turtle)
- Eretmochelys imbricata, Kasa Mwamba au Ng'amba (Hawksbill sea turtle)
- Lepidochelys olivacea, Kasa Kikoshi (Olive ridley sea turtle)
Familia Dermochelyidae
- Dermochelys coriacea, Kasa Ngozi (Leatherback sea turtle)
Familia Testudinidae
- Aldabrachelys gigantea, Kobe Dubwana wa Aldabra (Aldabra giant tortoise)
- Kinixys belliana, Kobe-bawaba wa Bell (Bell's hinge-back tortoise)
- Kinixys erosa, Kobe-bawaba Misitu (Forest hinge-back tortoise)
- Kinixys spekii, Kobe-bawaba wa Speke (Speke's hinge-back tortoise)
- Malacochersus tornieri, Kobe-chapati (Pancake tortoise)
- Stigmochelys pardalis, Kobe-chui (Leopard tortoise)
Familia Trionychidae
- Cycloderma frenatum, Kobemaji Galili-laini wa Zambezi (Zambezi flapshell turtle)
- Trionyx triunguis, Kobemaji Galili-laini (African softshell turtle)
PLEURODIRA
- Familia Pelomedusidae
- Pelomedusa subrufa, Kobe-mamba (African helmeted turtle)
- Pelusios adansonii, Kobemaji-bawaba wa Adanson (Adanson's mud turtle)
- Pelusios broadleyi, Kobemaji-bawaba wa Turkana (Turkana mud turtle)
- Pelusios castanoides, Kobemaji-bawaba Tumbo-njano (Yellow-bellied mud turtle)
- Pelusios chapini, Kobemaji-bawaba wa Kongo (Central African mud turtle)
- Pelusios gabonensis, Kobemaji-bawaba Misitu (African forest turtle)
- Pelusios rhodesianus, Kobemaji-bawaba wa Zambia (Variable mud turtle)
- Pelusios sinuatus, Kobemaji-bawaba Mkubwa (Serrated hinged terrapin)
- Pelusios subniger, Kobemaji-bawaba Mweusi (East African black mud turtle)
- Pelusios williamsi, Kobemaji-bawaba wa Williams (Williams' mud turtle)
Picha
hariri-
Kasa mtumbi
-
Kasa uziwa
-
Kasa mwamba
-
Kasa kikoshi
-
Kasa ngozi
-
Kobe dubwana wa Aldabra
-
Galili ya kobe-bawaba wa Bell
-
Galili ya kobe-bawaba misitu
-
Kobe-bawaba wa Speke
-
Kobe-chapati
-
Kobemaji galili-laine wa Zambezi
-
Kobemaji galili-laini
-
Kobe-mamba
-
Kobemaji-bawaba tumbo-njano
-
Kobemaji-bawaba mkubwa
-
Kobemaji-bawaba mweusi
-
Kobemaji-bawaba wa Williams
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kobe kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |