Theodora, Didimo, Afrodisi na Viktorini

Theodora, Didimo, Afrodisi na Viktorini (walifariki 304) ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao[1].

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 28 Aprili[2], 27 Mei au 11 Septemba.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Pierre Corneille wrote in 1645 a tragedy Theodore, virgin and martyr, based on this story, but he transferred it to Antioch. It was a signal failure, removed after only five performances. The oratorio Theodora composed by George Frideric Handel in 1749 was based on the story of Theodora and Didymus.
  2. https://catholicsaints.info/saint-theodora-of-alexandria/
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.