Theodoto wa Libya ni kati ya Wakristo wa Libya ya leo waliouawa kwa ajili ya imani yao.

Anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Julai[1].

Inawezekana na yuleyule anaheshimiwa tarehe hiyohiyo kwa jina la Theodoro wa Kurene.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.