Tiberius

Tiberius (jina kamili kwa Kilatini: Tiberius Caesar Divi Augusti filius Augustus)[1]; 16 Novemba 42 KK - 16 Machi 37) alitawala Dola la Roma kuanzia mwaka 14 hadi kifo chake. Alimfuata Kaizari Augusto.

Sanamu ya marumaru ya Kaisari Tiberius.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. In Classical Latin, Tiberius' name would be inscribed as TIBERIVS CAESAR DIVI AVGVSTVS F AVGVSTVS.

MarejeoEdit

Vyanzo vikuuEdit

Vyanzo vingineEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tiberius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.