Tibursi wa Roma
Tibursi wa Roma (alifariki Roma, Italia, mwishoni mwa karne ya 3 au mwanzoni mwa karne ya 4) alikuwa Mkristo aliyeuawa kutokana na imani yake kwa Yesu.
Papa Damaso I alitangaza sifa zake [1].
Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |