Tikoni wa Limassol
Tikoni wa Limassol (Limassol, Kupro, karne ya 4 – Limassol, Kupro, 425) alikuwa askofu wa mji huo wakati wa kaisari Theodosi Kijana[1].
Alipinga Upagani uliokuwa umebaki kisiwani huko.
Tangu kale anaheshimiwa na Ukristo wa Mashariki na Ukristo wa Magharibi kama mtakatifu[2].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/92509
- ↑ Paul Guérin (ed.), Vie des Saints des Petits Bollandistes, Paris, Bloud et Barral edd., 1876, VII, p. 64.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |