Timotheo II wa Aleksandria

Timotheo II wa Aleksandria (alifariki 31 Julai 477) kuanzia mwaka 457 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 26 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.