Timu ya Taifa ya Zanzibar

Timu ya Taifa ya Zanzibar (maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes) inaiwakilisha Zanzibar kwenye mashindano ya kimataifa ya mpira wa miguu na inasimamiwa na shirikisho la mpira wa miguu la Zanzibar.

Zanzibar
Shirt badge/Association crest
Nickname(s)Zanzibar Heroes
ShirikaZanzibar Football Federation
ShirikishoCAF (Africa)
Most capsSuleiman Selemba (32)
Top scorerAbdallah Juma Ally (9)
Home stadiumAmaan Abeid Complex
msimbo ya FIFAZAN
Elo rankingKigezo:World Football Elo Ratings
Highest Elo ranking90 (1947)
Lowest Elo ranking171 (November 1992)
Home colours
First international
 Tanganyika 3–1 Zanzibar 
(Dar es Salaam, Tanganyika; 18 September 1947)
Biggest win
Isio rasmi
 Zanzibar 6–0 Kigezo:Country data Raetia
(Arbil, Iraq; 4 Juni 2012)
Rasmi
Kigezo:Country data ZAN 4–0 Burundi 
(Mumias, Kenya; 29 Novemba 2009)
Biggest defeat
 Kenya 10–0 Zanzibar 
(Nairobi, Kenya; 4 October 1961)
VIVA World Cup
Appearances1 (First in 2012)
Best resultThird place (2012)
Kombe la CECAFA
Appearances58 (First in 1947)
Best resultWashindi (Kombe la CECAFA 1995)


Historia

hariri

Zanzibar sio mwanachama wa shirikisho la mpira wa miguu Duniani FIFA, hivyo haiwezi kushiriki mashindano ya Kombe la Dunia. Zanzibar ni sehemu ya Tanzania ambayo ni mwanachama wa FIFA katika ngazi za kimataifa. Kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, Zanzibar ilikuwa mwanachama wa kujitegemea wa chama cha mpira wa miguu Afrika CAF, lakini haikuwahi kufuzu fainali za Kombe la Mataifa Afrika.

Zanzibar alishawahi kuwa mwanachama wa muda kwenye bodi ya N.F. Walishika nafasi ya pili kwenye mashindano ya FIFI Wild Cup yam waka 2006, wlaipoteza fainali kwa penati 4-1 dhdi ya Timu ya taifa ya Uturuki. Katika michuano hiyo, Oliver Pocher alikua ndiye Kocha wao, anatokea nchini Ujerumani na ni msanii wa vichekesho.

Timu yao ya vijana wa umri chini ya miaka 20 ilishiriki mashindano ya ELF Cup ya mwaka 2006, walimaliza nafasi ya nne kati ya timu nane, walishinda mchezo mmoja tu dhidi ya Krygystan kwa kuwafunga goli 1-0, walitoka sare michezo miwili dhidi ya Gaugazia na Greenland kabla ya kupoteza kwa magoli 5-0 dhidi ya Northern Cyprus hatua ya nusu fainali. Mara kwa mara huwa wanashiriki mashinado ya CECAFA, mashindano haya yanahusisha timu za taifa kutoka Afrika mashariki na Afrika ya Kati na walishinda taji hilo mwaka 1995, waliwafunga wenueji wa mashindano hayo timu ya taifa ya Uganda goli 1-0 kwenye hatua ya fainali.

Mnamo Machi 2017, Zanzibar walipata uanachama wa CAF na kuwa mwanachama wa 55,[1] Uanachama wao ulidumu kwa miezi minne tu, Raisi wa CAF wa kipindi hicho bwana Ahmad Ahmad alitengua uanachama wa Zanzibar kwa madai kwamba uanachama huo haukupaswa kutolewa kwani visiwa vya Zanzibar sio nchi inayojitegemea.[2]

Michezo na Matokeo

hariri

Kigezo:Football box collapsible

Historia ya Makocha

hariri

Wachezaji Mashuhuri

hariri

Rekodi

hariri
As of 14 December 2019
Wachezaji waliokozwa bado wanachezea Zanzibar.

Wachezaji wenye Michezo Mingi

hariri
Nafasi Mchezaji Michezo Magoli Miaka ya Uchezaji
1 Suleiman Selembe 32 5 2009– Mpaka sasa
2 Aggrey Morris 30 6 2004–2012
3 Nadir Haroub 28 1 2005–2015
4 Abdulghani Gulam Abdallah 18 1 2009–2012
Khamis Mcha Khamis 18 5 2007–2015
6 Ally Mwadini 17 0 2009–2015
7 Soud Abdallah Juma 14 1 2002–2007
Abdi Kassim 14 2 2002–2010
9 Abdallah Juma Ally 13 9 2002–2007
10 Issa Haidar Dau 11 0 2015– Mpaka sasa
Mwinyi Mngwali 11 0 2015–Mpaka sasa
Waziri Omar 11 0 2009–2013
Nassor Said 11 0 2009–2013
Mudathir Yahya 11 1 2015– Mpaka sasa

Wafungaji Bora

hariri
Nafasi Jina Magoli Michezo Wastani Miaka ya Uchezaji
1 Abdallah Juma Ally 9 13 0.69 2002–2007
2 Aggrey Morris 6 30 0.2 2004–2012
3 Khamis Mcha Khamis 5 18 0.28 2007–2015
Suleiman Selembe 5 32 0.16 2009–Hadi sasa
5 Alek Mohammed 2 1 2 2006
Ali Shiboli 2 2 1 2010
Kassim Suleiman Khamis 2 3 0.67 2017–Hadi sasa
Ahmed Ali Mkweche 2 4 0.5 2005–2007
Khamis Mussa Makame 2 7 0.29 2017–Hadi sasa
Salum Ussi 2 7 0.29 2002–2006
Mohammed Juma 2 8 0.25 2017–Hadi sasa
Abdulaziz Makame 2 9 0.22 2017–Hadi sasa
Abdi Kassim 2 14 0.14 2002–2010

Rekodi za Mashindano

hariri

Kombe la CECAFA

hariri

Zanzibar ilishiriki mashindano ya Kombea la Gossage kuanzia mwaka 1949 hadi 1967, ambapo mashindano hayo yalibadilishwa jina na kuitwa the East and Central African Senior Challenge Cup:

rekodi ya Kombe la Gossage .281926.E2.80.931966.29
Mwaka Mzunguko Nafasi Pld W D* L GF GA
  1947 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 1 0 0 1 1 3
  1948 Nafasi ya Tatu 3 1 0 0 1 1 3
  1949 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 1 0 0 1 2 3
  1950 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 1 0 0 1 0 4
  1951 Nafasi ya Tatu 3 1 0 0 1 0 1
  1952 Nafasi ya Tatu 3 2 1 0 1 4 8
  1953 Nafasi ya Tatu 3 1 0 0 1 1 5
  1954 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 1 0 0 1 0 5
  1955 Nafasi ya Tatu 3 1 0 0 1 - -
  1956 Nafasi ya Tatu 3 2 1 0 1 5 7
  1957 Nafasi ya Tatu 3 2 0 1 1 4 8
  1958 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 3 0 1 2 3 8
  1959 Washindi wa pili 2 3 1 1 1 3 7
  1960 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 3 0 0 3 3 11
  1961 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 3 0 0 3 1 15
1962 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 3 0 0 3 0 19
  1963 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 3 0 0 3 1 5
  1964 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 3 1 0 2 5 10
  1965 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 3 0 0 3 2 12
Kigezo:Country data ZAN 1966 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 3 0 1 2 1 7
Jumla Washindi wa pili 20/37 41 4 4 33 37 141
Rekodi Kombe la Nchi za Afrika Mashariki na Kati
Mwaka Mzunguko Nafasi Pld W D * L GF GA
  1967 Nafasi ya Tatu 3 3 1 0 2 3 8
  1968 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 3 0 0 3 0 8
  1969 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 3 0 0 3 1 12
Kigezo:Country data ZAN 1970 Nafasi ya Tatu 3 3 1 0 2 4 5
  1971 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 3 0 1 2 2 8
Jumla Nafasi ya Tatu 5/5 15 2 1 12 10 41
Rekodi Kombe la CECAFA
Mwaka Mzunguko Nafasi Pld W D * L GF GA
  Kombe la CECAFA 1973 Hatua ya Makundi 5 2 0 0 2 0 6
  Kombe la CECAFA 1974 Nafasi ya Tatu 3 2 1 0 1 3 3
  Kombe la CECAFA 1975 Hatua ya Makundi 6 2 0 0 2 1 7
Kigezo:Country data ZAN Kombe la CECAFA 1976 Hatua ya Makundi 6 3 1 0 2 1 4
  Kombe la CECAFA 1977 Hatua ya Makundi 6 3 1 0 2 1 4
  Kombe la CECAFA 1978 Hawakushiriki
  1979 Kombe la CECAFA 1979 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 4 0 2 2 3 8
  Kombe la CECAFA 1980 Hatua ya Makundi 5 3 1 0 2 2 5
  Kombe la CECAFA 1981 Hatua ya Makundi 8 3 0 0 3 3 9
  1982 Kombe la CECAFA 1982 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 4 1 1 2 3 8
  Kombe la CECAFA 1983 Hatua ya Makundi 8 3 0 1 2 3 6
  Kombe la CECAFA 1984 Hatua ya Makundi 8 3 0 0 3 1 4
  Kombe la CECAFA 1985 Hawakushiriki
  Kombe la CECAFA 1987 Nafasi ya Nne 4 5 1 2 2 2 3
  Kombe la CECAFA 1988 Hatua ya Makundi 7 3 1 0 2 1 3
  Kombe la CECAFA 1989 Hatua ya Makundi 6 3 0 2 1 0 1
Kigezo:Country data ZAN Kombe la CECAFA 1990 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 5 1 1 3 3 5
  Kombe la CECAFA 1991 Hatua ya Makundi 7 3 0 0 3 4 7
  Kombe la CECAFA 1992 Hatua ya Makundi 8 4 1 0 3 2 14
  Kombe la CECAFA 1994 Hawakushiriki
  Kombe la CECAFA 1995 Washindi 1 5 3 1 1 5 4
  Kombe la CECAFA 1996 Hatua ya Makundi 5 3 1 1 1 3 3
  Kombe la CECAFA 1999 Hatua ya Makundi 10 2 0 1 1 1 3
  Kombe la CECAFA 2000 Hawakushiriki
  Kombe la CECAFA 2001 Hatua ya Makundi 10 2 0 0 2 0 8
  Kombe la CECAFA 2002 Hatua ya Makundi 7 4 1 1 2 1 3
  Kombe la CECAFA 2003 Hatua ya Makundi 5 2 0 1 1 2 6
  Kombe la CECAFA 2004 Hatua ya Makundi 7 4 1 0 3 7 11
  Kombe la CECAFA 2005 Nafasi ya Tatu 3 6 3 2 1 7 6
  Kombe la CECAFA 2006 Hatua ya Makundi 9 2 0 1 1 0 4
  Kombe la CECAFA 2007 Quarter-finals 7 3 1 2 0 5 3
  Kombe la CECAFA 2008 Hatua ya Makundi 8 4 1 1 2 3 5
  Kombe la CECAFA 2009 Nafasi ya Tatu 3 6 2 2 2 6 3
  Kombe la CECAFA 2010 Robo fainali 7 4 1 2 1 4 3
  Kombe la CECAFA 2011 Robo Fainali 7 4 1 1 2 5 4
  Kombe la CECAFA 2012 Nafasi ya Tatu 3 6 1 4 1 5 6
  Kombe la CECAFA 2013 Hatua ya Makundi 9 3 1 0 2 3 6
  Kombe la CECAFA 2015 Hatua ya Makundi 10 3 1 0 2 3 6
  Kombe la CECAFA 2017 Washini wapili 2nd 6 3 2 1 9 6
  Kombe la CECAFA 2019 Hatua ya Makundi 8 3 0 1 2 1 3
Jumla Taji 1 36/40 124 29 32 63 100 184

Kombe la Mataifa Afrika (AFCON)

hariri

Mnamo Machi mwaka 2017, Zanzibar iliorodheshwa kama mwanachama rasmi wa shirika la mpira wa miguu Afrika (CAF), na kuwafanya wawe na stahiki ya kushiriki mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON).[1] Uanachama wao ulitenguliwa mwezi Julai, hii ni baada ya FIFA kupitisha sheria ya kukataza timuy mbili kutoka taifa moja kushiriki kwenye mashindano hayo.[2]

Mwaka Mzunguko Nafasi GP W D L GS GA
Kombe la Mataifa Afrika
Kombe la Mataifa Afrika 1957 – 1963 Hawakushiriki’’
Kombe la Mataifa Afrika 1965 - 2023 Hawana Uanachama

Mashindano Yasiyotambulika na FIFA

hariri

Mashindano ya Dunia

hariri
World tournaments record
Mwaka Mzunguko Nafasi Pld W D* L GF GA
Kombe la FIFI Wild na Kombe la ELF
Kombe la FIFI Wild 2006 Washindi wa Pili 2 4 2 1 1 7 6
  Kombe la ELF 2006 ’’’Nafasi ya Nne’’’ 4 5 1 3 1 5 9
Kombe la dunia la VIVA
Kigezo:Country data Occitania Kombe la Dunia la VUVA 2006 Hawakushiriki’’
Kigezo:Country data Sápmi Kombe la Dunia la VIVA 2008
Kigezo:Country data Padania Kombe la Dunia la VIVA 2009
Kigezo:Country data Gozo Kombe la Dunia la VIVA 2010
Kigezo:Country data Kurdistan Kombe la Dunia la VIVA 2012 Nafasi ya Tatu 3 4 3 0 1 16 4
Kombe la Dunia la Mpira wa miguu la CONIFA
Kigezo:Country data Sapmi Kombe la Dunia la ConIFA 2014 Walijitoa
Kigezo:Country data Abkhazia Kombe la Dunia la ConIFA 2016 Hawakushiriki’’’’
Kigezo:Country data Barawa Kombe la Dunia la ConIFA 2018
Jumla Nafasi ya Tatu 3/10 13 6 4 3 28 19

Mataji

hariri

Ukanda

hariri
  • Kombe la CECAFA
    • Washindi (1): Kombe la CECAFA 1995
    • Nafasi ya pili (1): Kombe la CECAFA 2017
    • Nafasi ya Tatu (3): Kombe la CECAFA 2005, 2009, 2012

Mashindano yasiyotambulika na FIFA

hariri

Tanbihi

hariri
  1. 1.0 1.1 "Zanzibar admitted as full member of African soccer body". indianexpress.com. Indian Express. 16 Machi 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Machi 2017. Iliwekwa mnamo 16 Machi 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 "Zanzibar loses Caf membership in embarrassing U-turn". bbc.com. British Broadcasting Corporation. 21 Julai 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Julai 2017. Iliwekwa mnamo 23 Julai 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Huyu ndiye Ali Badru: Straika aliyekimbia vurugu Misri akiamini Simba itampeleka Ulaya". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-07.
  4. "Badru mchezaji bora wa Februari Ligi Kuu Zanzibar". mwanachi.co.tz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-01-27. Iliwekwa mnamo 2023-01-27.