Tiranioni na Zenobi

Tiranioni na Zenobi (walifariki Antiokia ya Siria, leo nchini Uturuki, 311 hivi) walikuwa askofu na padri wa Turo, katika Lebanoni ya leo, walioteswa kwa ndoano na kuuawa kikatili kwa ajili ya imani ya Kikristo wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1][2].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 20 Februari[3][4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Torben Christensen, Rufinus of Aquileia and the Historia Ecclesiastica, Lib. VIII–IX, of Eusebius (Copenhage, 1989), pp. 104–106, 110.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/42120
  3. Martyrologium Romanum
  4. Basil Watkins, The Book of Saints, 8th ed. (Bloomsbury, 2016 [1921]), p. 734.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.