Tisyano wa Oderzo

Tisyano wa Oderzo (kwa Kiitalia: Tiziano; Eraklea, Veneto, Italia, karne ya 6 - 16 Januari 632[1]) alikuwa askofu wa mji huo.

Mt. Tisyano wa Oderzo.

Alipinga Uario.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Januari[2].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Antonio Borrelli (2004). San Tiziano di Oderzo. Santi e beati. Iliwekwa mnamo August 26, 2011.
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.