Tolomayo wa Shoka
Tolomayo wa Shoka ni kati ya Wakristo waliofia dini yao.
Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa na Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |