Torsten Haß (anajulikana pia kwa jina bandia Kim Godal; amezaliwa Neumünster, Ujerumani, 21 Novemba 1970) ni mshairi, mwandishi wa tamthilia na wa riwaya, na mtunza maktaba. [1]

Alisoma huko Stuttgart. Aliandika vitabu kadhaa kwa mfano, Bibliotheken für Dummies. Kitabu kilichapishwa mnamo Oktoba 2019 na kuchapishwa tena kwa mara ya pili kwa sababu ya uhitaji mkubwa. Takriban vitabu 60,000 viliombwa kufikia mwishoni mwa mwaka 2020.[2] Kitabu hiki kimepokea hakiki kadhaa[3][4] na kinatumika katika vyuo vikuu vingi. Mifano: Maktaba ya Chuo Kikuu cha Tübingen[3][5], Maktaba ya Chuo Kikuu cha Bochum[6], Maktaba ya Chuo Kikuu cha Bingen[7].

Kazi za kisayansi hariri

  • Bibliotheken für Dummies (2019); pamoja na Detlev-Schneider-Suderland
  • Arbeitgebermarke Bibliothek mit k(l)einem Budget : eine Einführung mit Übungen (2021)
  • Vahīṅ dekhiye : Festschrift für Hellmut Vogeler (1996); kama mhariri
  • Das Ende der Gemütlichkeit : Entwurf eines Fundraising-Konzepts für kleinere und mittlere Wissenschaftliche Bibliotheken (2021)
  • Dieses Buch ist für die Tonne : Einführung in den klassischen Zynismus (Kynismus) (2020); pamoja na Maximilian Spannbrucker
  • Wohnriester und Erbbau : ein aktuelles Fallbeispiel (2021)

Riwaya hariri

  • Das Kartenhaus : ein Betrugs-Roman (2002[8])
  • Der König des Schreckens : ein Vatikan-Krimi (2013[8])
  • Männchensache : Rechtsfälle zur Vorbereitung im Geschlechterkampf – Roman (2009[8])
  • Morddeich : und andere Kurzprosa (2021)
  • Die Schwarze Zeit : ein Mittelalter-Roman (2006[8])
  • Die Schwarze Zeit II : Aphrodites Puppen – Roman (2007[8])
  • Die Schwarze Zeit III : Metathronos – Roman (2008[8])
  • Die Schwarze Zeit IV : Agonie – Roman (2009[8])
  • Die Schwarze Zeit V : Staub – Roman (2010[8])
  • Die Schwarze Zeit VI : Terra re-mota – Roman (2011[8])
  • Totenmelodie : ein Kurpfalz-Krimi (2017[8])
  • Totenquintett : ein Kurpfalz-Krimi (2018[8])
  • Totentraum : ein Kurpfalz-Krimi (2019[8])

Tamthiliya hariri

  • En Nuit : Dramolett (2021)
  • Omega oder Das Hochzeitsmahl : Drama (2020[8])
  • Die Staatsschuld – In a State of Bonds : Drama (2003[8])

Mashairi hariri

  • Das Christkind taumelt betrunken im Wald, der Weihnachtsmann torkelt nicht minder : Winter- und Weihnachts-Gedichte (2020)
  • Es wiehert der Gaul, es graset das Pferd. Es machte auch nichts, wär’s mal umgekehrt : Liebes-Gedichte und andere (2020)

Tanbihi hariri

  1. Maktaba ya Kitaifa ya Ujerumani. Maktaba ya Kitaifa ya Ujerumani.
  2. "Bibliotheken für Dummies als pdf-E-Book". BuB 72 (11): 611. 2020. Archived from the original on 2021-04-26. Retrieved 2021-11-10. 
  3. 3.0 3.1 Zeller, Gabriele (2019). "Bibliotheken für Dummies". ub info (Chuo Kikuu cha Tübingen) (11): 13. 
  4. König, Elena (2019). "Bibliotheken für Dummies". Spektrum (Chuo Kikuu cha Ludwigshafen) (11): 39. Retrieved 2021-11-10. 
  5. Zeller, Gabriele (2021). Arbeitgebermarke Bibliothek mit k(l)einem Budget. Spatz. p. 2. ISBN 9798721527586. 
  6. Theile, Monika (2021). Arbeitgebermarke Bibliothek mit k(l)einem Budget. Spatz. p. 2. ISBN 9798721527586. 
  7. Die Bibliothek einfach erklärt. Chuo Kikuu cha Bingen.
  8. 8.00 8.01 8.02 8.03 8.04 8.05 8.06 8.07 8.08 8.09 8.10 8.11 8.12 8.13 Godal, Kim (2021). Morddeich. Spatz. pp. 133–134 (Kronolojia ya vitabu). ISBN 979-8746727725. 

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Torsten Haß kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.