Trilojia ya Dollars

Trilojia ya Dollars (Kiitalia: Trilogia del dollaro), pia inajulikana kama Man with No Name Trilogy, ni mfululizo wa filamu unaojulisha filamu tatu za mtindo wa Spaghetti Western ambazo zote zimeongozwa na Sergio Leone. Filamu hizo ni zinaitwa A Fistful of Dollars (1964), For a Few Dollars More (1965) na The Good, the Bad and the Ugly (1966). Zilisambazwa na United Artists.

Trilojia ya Dollars
Imeongozwa na Sergio Leone
Imetayarishwa na
Imetungwa na
Nyota
Muziki na Ennio Morricone
Imehaririwa na
Imesambazwa na Unidis (Italy, 1)
PEA (Italy, 23)
United Artists (US & UK, original)
MGM/UA/20th Century Fox (US & UK, current)
Imetolewa tar. 1:1964, 16 Oktoba
2:1965 18 Novemba
3:1966 15 Disemba
Ina muda wa dk. 409 minutes (13)
Nchi Italia
West Germany
Spain
United States (3)
Lugha Kiingereza
Kiitalia
Bajeti ya filamu Jumla (filamu 3):
$2,000,000–$2,025,000
Mapato yote ya filamu Total (filamu 3):
$280,500,000

Mfululizo huu umekuwa maarufu mno kwa ajili ya kuanzisha mtindo wa Spaghetti Western, na kupelekea kuvutia utengenezwaji wa filamu zingine kedekede za Spaghetti Western hapo baadaye. Filamu hizi tatu zimekuwa moja kati ya filamu zizilitolewa tahakiki bab-kubwa kwa muda wote katika filamu za western.[1]

Ijapokuwa haikuwa nia ya Leone, filamu hizi tatu zimehesabiwa kama trilojia hasa kwa kufuatia uhusika wa maarufu wa "Man with No Name" (uliochezwa na Clint Eastwood, akivaa nguzo zilezile na kucheza katika muadhui yaleyale katika filamu zote tatu). Wazo la The "Man with No Name" lilivumbuliwa na wasambazaji wa Kimarekani wa United Artists, akitafuta pembe maridhawa ili waweze kuuza nakala nyingi ya filamu hii ikiwa kama trilojia. Uhusika wa Eastwood umekuwa wa majina mengi katika filamu hizi ambapo katika kila filamu aliitwa majina tofauti ikiwa ni pamoja na: "Joe", "Manco" na "Blondie".

Washiriki

hariri

Waigizaji pekee walionekana katika filamu zote tatu ukiacha Eastwood ni Mario Brega, Aldo Sambrell, Benito Stefanelli na Lorenzo Robledo. Waigizaji wengine wanne wameonekana mara mbili katika trolijia ni pamoja na : Lee Van Cleef, Gian Maria Volontè, Luigi Pistilli, na Joseph Egger.

Muziki

hariri

Mtunzi wa muziki ni Ennio Morricone ametengeneza muziki halisi wa filamu zote tatu, ijapokuwa katika A Fistful of Dollars alitajwa kama "Dan Savio."[2][3]

Washiriki orodha kamili

hariri
Mwigizaji Uhusika
A Fistful of Dollars
(1964)
For a Few Dollars More
(1965)
The Good, the Bad and the Ugly
(1966)
Clint Eastwood Joe Manco Blondie
Mario Brega Chico Niño Corporal Wallace
Aldo Sambrell Manolo Cuchillo Angel Eyes Gang Member
Benito Stefanelli Rubio Hughie (a.k.a. "Luke")
Lorenzo Robledo Baxter's member Tomaso Clem
Joseph Egger Piripero Old Prophet  
Gian Maria Volontè Ramón Rojo El Indio  
Lee Van Cleef   Colonel Douglas Mortimer Angel Eyes
Luigi Pistilli   Groggy Father Pablo Ramirez
Eli Wallach   Tuco Ramirez

Kikosi kazi

hariri
Kazi Filamu
A Fistful of Dollars
(1964)
For a Few Dollars More
(1965)
The Good, the Bad and the Ugly
(1966)
Mwongozaji Sergio Leone
Mtayarishaji Arrigo Colombo
Girogia Papi
Alberto Grimaldi
Mwandishi Muswaada Sergio Leone
Víctor Andrés Catena
Jamie Comas Gil
Fernando Di Leo
Duccio Tessari
Tonino Valerii
Sergio Leone
Luciano Vincenzoni
Sergio Donati
Sergio Leone
Luciano Vincenzoni
Age & Scarpelli
Sergio Donati[4]
Hadithi Sergio Leone
Victor Andrés Catena
Adriano Bolzoni
Sergio Leone
Fulvio Morsella
Enzo Dell'Aquila
Fernando Di Leo[5]
Sergio Leone
Luciano Vincenzoni
Muziki Ennio Morricone
Sinematografia Massimo Dallamano
Federico G. Larraya
Massimo Dallamano Tonino Delli Colli
Mhariri Roberto Cinquini
Alfonso Santacana
Eugenio Alabiso
Giorgio Serrallonga
Eugenio Alabiso
Nino Baragli
Sehemu za kuigizia na mapambo Carlo Simi

Mapokezi

hariri

Mapokezi ya kitahakiki

hariri
Film Rotten Tomatoes Metacritic
A Fistful of Dollars 98% (43 reviews)[6] Hakuna taarifa
For a Few Dollars More 94% (33 reviews)[7] Hakuna taarifa
The Good, the Bad and the Ugly 97% (67 reviews)[8] 90 (7 reviews)[9]

Matokeo ya Box office

hariri
Filamu Tarehe ya kutolewa Mapato Bajeti
A Fistful of Dollars Oktoba 16, 1964 (1964-10-16) $14.5 million[10] $200,000-$225,000[11]
For a Few Dollars More Novemba 18, 1965 (1965-11-18) $15 million[12] $600,000[13]
The Good, the Bad and the Ugly Desemba 15, 1966 (1966-12-15) $25.1 million[14] $1.2 million[15]
Jumla $54,600,000 $2,000,000–$2,025,000
Tuzo Kategoria Waliopokea na walioteuliwa Matokeo Marejeo
A Fistful of Dollars
Italian National Syndicate of Film Journalists Best Score Ennio Morricone Ameshinda [16]
Best Supporting Actor Gian Maria Volontè Nominated
The Good, the Bad and the Ugly
Laurel Awards Action Performance Clint Eastwood Runner-Up [17]
Grammy Awards 2009 Grammy Hall of Fame Award Ennio Morricone Ameshinda [18]

Marejeo

hariri
  1. "Top 100 Western Movies". Rotten Tomatoes. Flixster. Iliwekwa mnamo 7 Januari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Man With No Name Movies - Fun Facts, Questions, Answers, Information". FunTrivia. 7 Januari 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-11-20. Iliwekwa mnamo 2021-01-20.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Anderson, Cal. "A Fistful of Dollars (1964)". Clint Eastwood.Net. Iliwekwa mnamo 7 Januari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Sir Christopher Frayling, The Good, the Bad and the Ugly audio commentary (Blu-ray version). Retrieved on 3 August 2015.
  5. Cox, Alex (2009). 10,000 Ways to Die: A Director's Take on the Spaghetti Western. Oldcastle Books. ISBN 978-1842433041.
  6. "A Fistful of Dollars (Per un Pugno di Dollari)". Rotten Tomatoes. Flixster. Iliwekwa mnamo 7 Januari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "For a Few Dollars More (Per Qualche Dollaro in Più)". Rotten Tomatoes. Flixster. Iliwekwa mnamo 7 Januari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "The Good, the Bad and the Ugly (Il Buono, il Brutto, il Cattivo.)". Rotten Tomatoes. Flixster. Iliwekwa mnamo 7 Januari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. "The Good, the Bad and the Ugly (re-release) Reviews". Metacritic. CBS Interactive. Iliwekwa mnamo 7 Januari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. "A Fistful of Dollars (1967)". Box Office Mojo. Amazon. Iliwekwa mnamo 8 Januari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. Sources that refer to the budget of A Fistful of Dollars include:
  12. "For a Few Dollars More (1967)". Box Office Mojo. Amazon. Iliwekwa mnamo 22 Januari 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  13. "Per qualche dollar in più - Box Office Data, DVD Sales, Movie News, Cast Information". The Numbers. Nash Information Services, LLC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-19. Iliwekwa mnamo 8 Januari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  14. "The Good, the Bad and the Ugly (1967)". Box Office Mojo. Amazon. Iliwekwa mnamo 8 Januari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  15. "Il buono, il burtto, il cattivo - Box Office Data, DVD Sales, Movie News, Cast Information". The Numbers. Nash Information Services, LLC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-01-07. Iliwekwa mnamo 16 Aprili 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  16. "Per un pugno di dollari - Awards". Internet Movie Database. Amazon. Iliwekwa mnamo 7 Januari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  17. "Il buono, il burtto, il cattivo. - Awards". Internet Movie Database. Amazon.com. Iliwekwa mnamo 7 Januari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  18. "The Police, Queen, Morricone Honoured At Grammy Hall Of Fame". Uncut. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-07-26. Iliwekwa mnamo 19 Julai 2014. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

Bibliografia

hariri