Tumbatu Jongowe Ni kijiji miongoni mwa vijiji viwili vilivyomo ndani ya kisiwa cha Tumbatu, ambacho kipo kiasi cha meli 3 kutoka bandari ya Mkokotoni. Jongowe ni kijiji cha Kihistoria kilichomo ndani ya Wilaya Ndogo Tumbatu, Wilaya ya kaskazin A Unguja, Mkoa wa Kaskazin Unguja/Zanzibar-Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 4,367 waishio humo. [1]

Marejeo hariri

  1. Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2003-12-28.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tumbatu Jongowe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
  Kata za Wilaya ya Unguja Kaskazini 'A' - Mkoa wa Unguja Kaskazini - Tanzania  

Bandamaji | Bwereu | Chaani Kubwa | Chaani Masingini | Chutama | Fukuchani | Gamba | Kandwi | Kibeni | Kidombo | Kidoti | Kigomani | Kigunda | Kijini | Kikobweni | Kilimani | Kilindi | Kinyasini | Kisongoni | Kivunge | Matemwe | Mchenza Shauri | Mkokotoni Unguja | Mkwajuni | Moga | Mto wa Pwani | Muwange | Nungwi | Pale | Pitanazako | Potoa | Pwani Mchangani | Tazari | Tumbatu Gomani | Tumbatu Jongowe | Uvivini