Uhusianifu maalumu

Uhusianifu maalumu (kwa Kiingereza: special relativity) ni nadharia iliyoundwa na Albert Einstein mwaka 1905.

Picha halisi ya Albert Einstein ya mwaka 1905 hivi, ambapo alichapisha kitabu "Annus Mirabilis" yakiwemo maandishi kuhusu Zur Elektrodynamik bewegter Körper (yaani "On the Electrodynamics of Moving Bodies") yaliyounda nadharia ya uhusianifu maalumu.

Nadharia hiyo kwa ufupiEdit

Nadharia hiyo husema:

 • Wachunguzi wakiwa na mwendo tofauti, hukuona wakati na umbali hubadilishwa, katika fomula γ=(1-v2/c2)-1/2.

Majaribio mengi yamethibitisha nadharia hiyo na ile ya uhusianifu wa jumla[1], kama vile majaribio wa Michelson-Morley na majaribio wa Ives-Stilwell (nadharia ya uhusianifu maalum), na majaribio wa Pound-Rebka (nadharia ya uhusianifu wa jumla).

MarejeoEdit

VitabuEdit

MakalaEdit

 • Alvager, T.Expression error: Unrecognized word "etal". (1964). "Test of the Second Postulate of Special Relativity in the GeV region". Physics Letters 12 (3): 260. doi:10.1016/0031-9163(64)91095-9
   .
   . PMID 16011297
   . https://archive.org/details/sim_isis_2004-12_95_4/page/614.
 • Wolf, Peter; Petit, Gerard (1997). "Satellite test of Special Relativity using the Global Positioning System". Physical Review A 56 (6): 4405–09. doi:10.1103/PhysRevA.56.4405
   .

Viungo vya njeEdit

Wikisource ina maelezo kamili yahusianayo na makala hii:
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:

Maandishi asiliEdit

Ufafanuzi rahisiEdit

 • Einstein Light An award-winning, non-technical introduction (film clips and demonstrations) supported by dozens of pages of further explanations and animations, at levels with or without mathematics.
 • Einstein Online Archived 1 Februari 2010 at the Wayback Machine. Introduction to relativity theory, from the Max Planck Institute for Gravitational Physics.
 • Audio: Cain/Gay (2006) – Astronomy Cast. Einstein's Theory of Special Relativity

Ufafanuzi rahisi kiasiEdit

MaonyeshoEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uhusianifu maalumu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.