Ukalawa ni kata ya Wilaya ya Njombe Vijijini katika Mkoa wa Njombe, Tanzania.

Inaundwa na vijiji viwili yaani Ukalawa na Kitole.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 3,444 [1].

Wananchi wa kata ya Ukalawa hujishughulisha na kilimo cha chai na parachichi kama mazao ya biashara. Lakini pia wanajihusisha na kilimo cha mazao ya chakula kama vile mahindi, maharage, ulezi n.k.

Marejeo

hariri
  Kata za Wilaya ya Njombe Vijijini - Mkoa wa Njombe - Tanzania  

Idamba | Igongolo | Ikondo | Ikuna | Kichiwa | Kidegembye | Lupembe | Matembwe | Mfriga | Mtwango | Ninga | Ukalawa


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Njombe bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ukalawa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.