Ukristo nchini Kenya

Religion in Kenya (2010)[1]
religion percent
Wakristo
  
84.8%
Waislamu
  
9.7%
Wasio na dini
  
2.5%
Dini za jadi za Kiafrika
  
1.7%
Wengineo
  
1.2%
Bila maelezo
  
0.1%

Ukristo nchini Kenya kwa jumla unaishi kwa amani, ukitumia uhuru wa dini unaohakikishwa na katiba ya mwaka 2010.

Kanisa Katoliki huko Mombasa.

Hata hivyo miaka ya hivi karibuni baadhi ya Wakristo waliuawa na wafuasi wa Al Shabaab.

Upande wa takwimu, kulingana na sensa ya mwaka 2009, Wakristo walikuwa asilimia 82.5 ya wakazi wote wa Kenya (asilimia 47.4 Waprotestanti, asilimia 23.3 Wakatoliki, asilimia 11.8 Wakristo wa madhehebu mengine mbalimbali). Utafiti mwingine pia umeonyesha kuwa Ukristo ndio dini kuu ya wakazi wa Kenya (84.8%)[2][3].

Wakristo 70,000 hivi walitokea familia za Kiislamu.[4]

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. ""Pew Research Center's Religion & Public Life Project: Kenya"". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-03. Iliwekwa mnamo 2019-02-10. 
  2. "Appendix 2: Religious Diversity Index Scores and Religious Adherents by Region and Country". assets.pewresearch.org. 
  3. "2009 Population & Housing Census Results". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-11-13. Iliwekwa mnamo 2019-02-10.  Unknown parameter |= ignored (help)
  4. Johnstone, Patrick; Miller, Duane (2015). "Believers in Christ from a Muslim Background: A Global Census". IJRR 11: 14. Iliwekwa mnamo 20 November 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)