Uislamu nchini Kenya
Uislamu kwa nchi |
Uislamu nchini Kenya unakadiriwa kufikia asilimia 11.1 ya wakazi wote wa Kenya[1], au makadirio ya milioni 4.3 ya watu.
Sehemu kubwa ya pwani ya Kenya imejawa na wakazi wengi wa Kiislamu, lakini Nairobi pia ina misikiti kadhaa na Waislamu kadhaa maarufu.
Sehemu kubwa ya Waislamu wa Kenya ni wafuasi wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya Shafi. Vilevile kuna kiasi kadhaa cha Waislamu wanaoafuata dhehebu la Shia na Ahmadiyya.[2] Katika sehemu kubwa, Shia ni Waismailia waliotokana au wenye athira kutokana na wafanyabiashara wa majini/bahari kutoka Mashariki ya Kati na India. Hao Washia ni pamoja na Dawoodi Bohra, ambao wanakadiriwa kuwa kati ya 6,000-8,000 nchini humo.[3]
Marejeo
hariri- ↑ "2009 Population & Housing Census Results" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2011-11-13. Iliwekwa mnamo 2016-05-07.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help) - ↑ "The World's Muslims: Unity and Diversity" (PDF). Pew Forum on Religious & Public life. Agosti 9, 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-10-24. Iliwekwa mnamo Agosti 14, 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Helene Charton-Bigot, Deyssi Rodriguez-Torres. Nairobi Today. the Paradox of a Fragmented City. African Books Collective, 2010. ISBN 9987-08-093-6, ISBN 978-9987-08-093-9. Pg 239
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |