Uprogramishaji unde

Katika utarakilishi, uprogramishaji unde (kwa Kiingereza: structured programming) ni aina ya uprogramishaji inayolenga kuboresha uwazi, ubora na muundo wa lugha za programu.

Makala ya kisayansi kuhusu uprogramishaji unde.

Kwa mfano, uprogamishaji unde unatumika kwenye lugha za programu kama C au C++.

MarejeoEdit

  • Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.