Valentino wa Griselles

(Elekezwa kutoka Valentino wa Langres)

Valentino wa Griselles (Pothières au Mont Lassois, 519[1] - Griselles, 547[1]) alikuwa mkaapweke katika Ufaransa wa leo, halafu padri pia[2], baada ya kulelewa ikulu na kukataa ndoa.

Picha takatifu ya Mt. Valentino.

Tangu kale ameheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 4 Julai[3][4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Christian Sapin et Noëlle Deflou-Leca, Saint-Valentin de Griselles : du culte érémitique à la fondation monastique, t. XXXIX, Mémoires de la Commission des Antiquités du département de la Côte d’Or, 2000-2001
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.