Valeriani wa Aquileia
Valeriani wa Aquileia (alifariki Aquileia, leo nchini Italia, 388) alikuwa askofu mkuu wa mji huo kuanzia mwaka 369 hadi kifo chake akiurudisha pamoja na Iliriko kwenye imani sahihi dhidi ya Waario.
Pia alikusanya pamoja wakleri na walei akiwaalika kuishi kijumuia [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Novemba[2].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/91156
- ↑ Martyrologium Romanum, Libreria Editrice Vaticana (2001) ISBN 88-209-7210-7
Marejeo
hariri- Pio Paschini, Le vicende politiche e religiose del territorio friulano da Costantino a Carlo Magno (secc. IV-VIII), Memorie storiche forogiuliesi, Vol. 8, 1912, pag. 51-64.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |