Venance Salvatory Mabeyo
Venance Salvatory Mabeyo alikuwa Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama kwa kipindi cha miaka 2017-2022 nchini Tanzania[1] akiwa Mkuu wa majeshi wa nane, aliyechaguliwa na Rais John Magufuli.
Safari yake ya jeshi ilianza mwaka 1980 akiwa na cheo cha Luteni usu, baadaye mwaka 1981 akawa Luteni, 1987 Kapteni, 1991 Meja, 1998 Luteni Kanali, 2006 Kanali, 2010 Brigedia Jenerali, 2014 Meja Jenerali, 2016 Luteni Jenerali kisha mwaka 2017 alikuwa Jenerali.
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-28. Iliwekwa mnamo 2018-12-10.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Venance Salvatory Mabeyo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |