Veneri mkaapweke
Veneri (Palmaria, Liguria, leo nchini Italia, 560 hivi - Isola del Tino, 630) alikuwa mmonaki padri, halafu mkaapweke karibu na La Spezia, na ndipo alipofariki, baada ya kuleta Waario wengi katika Kanisa Katoliki[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Septemba[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
hariri- (Kiitalia) San Venerio e i Santi Spezzini Ilihifadhiwa 10 Mei 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |