Verónica Boquete Giadans (alizaliwa Aprili 9, 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Hispania ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Fiorentina ya nchini Italia. Amechezea klabu mbalimbali nchini Marekani, Urusi, Sweden, Ufaransa, Ujerumani, China, na Italia. Alikuwa nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Hispania katika mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia mwaka 2015.[1]

Verónica Boquete Giadans


Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Verónica Boquete kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.