Viatori wa Lyon (alifariki Skete, 390 hivi) alikuwa Mkristo wa mji huo, leo nchini Ufaransa, ambaye miaka yake ya mwisho alimfuata askofu wake Yusto wa Lyon kwenda kuishi jangwani na wamonaki wa Misri[1][2][3].

Mt. Viatori wa Lyon.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Oktoba[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.