Viktoryo wa Utica alikuwa askofu wa mji huo wa kale (katika pwani ya Tunisia ya leo) katika karne ya 4 BK.

Alishiriki mtaguso wa Arles wa mwaka 314.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Agosti.

Tazama pia hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.