Vinsenti wa Digne (alifariki Digne, leo nchini Ufaransa, 394) alikuwa askofu wa pili wa mji huo baada ya mwenzake Domnini kuanzia mwaka 380[1] [2].

Digne-les-Bains leo.

Mzaliwa wa Afrika Kaskazini, tena Mberberi, alikwenda Roma mwaka 313 kushiriki sinodi dhidi ya Wadonati akatumwa na Papa Miltiades huko Ufaransa alipoinjilisha sehemu mbalimbali hadi Italia Kaskazini.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Januari.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "L'histoire du diocèse". Diocèse catholique de Digne Riez et Sisteron. 16 November 2011. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-25. Iliwekwa mnamo 12 Nov 2012.  Check date values in: |date= (help)
  2. "Saints Vincent et Domnin". Nominis. Iliwekwa mnamo 12 Nov 2012. 
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.